RDC: Mchambuzi wa kisiasa John Awaze azungumzia jaribio ya mapinduzi didjini Kinshasa
Akitoa maoni yake kuhusu yaliyo tukia Kinshasa Gombe, juma pili tarehe 19 mei 2024,John Awaze, mchambuzi wa siasa za Congo DRC anaye jitegemea, anaye ishi mjini Goma mashariki mwa DRC , ataja jaribio hili kama ukosefu wa akili kwa wahusika,lililo ongozwa naye Christian Malanga na kundi lake.
Akijadiliana na radio Beroya FM GOMA, mchambuzi huyo, adhani kwamba viongozi wa serekali ya Congo, wanayo jukumu kubwa Siku hizi,na mojawapo ya Yale wanayo takiwa kufanya, ni kuleta Amani mashariki mwa nchi hiyo, ikiwa ndo haja ya kila mkongomani mwenye kuipenda inchi yake,
Huyo hajaona upande wake umuhimu wa watu wanao jidai kuwa wa kongomani wajitokeze na kuleta vurugu, jambo hili ni lakupiga marufuku.
Congo inahitaji mambo mengine sio upuuzi walio ufanya Christian Malanga na kundi lake eti ka...