RADIO BEROYA FM

mardi, novembre 12News That Matters
Shadow

Étiquette : Raiya

Kivu kaskazini : mkuu kiongozi jimboni wa secta ya mlimo anazungumzia hapa secta hiyo

Kivu kaskazini : mkuu kiongozi jimboni wa secta ya mlimo anazungumzia hapa secta hiyo

Mlimo, secta ya mlimo, ukosefu wa usalama
Secta yamlimo na ufugo mkoani Kivu kaskazini siku hizi imeonekana yenye kuasirika pa kubwa na vita, vinavyo shuhudiwa ndani ya Jimbo hilo, ambako vijiji kadhaa vimevamiwa na magaidi wa ADF, upande moja, upande mwingine na wanamgambo wa m23, na mengine makundi yenye kumiliki silaha kinyume na sheria, ambao wamesababisha raiya wengi kuyahama makaazi yao, kwenye vijiji ambako wengi walikuwa wakiendesha shughuli za mlimo na za ufugo, alibaini hayo Bwana Tembo Kasekwa Aniceth, mwenye kiti wa mlimo mkoani Kivu kaskazini. Kiongozi huyu alipo zungumza na Beroyafm.net hii juma tatu 27 mei 2024,hapa mji mku wa Kivu kaskazini Goma, adokeza kwamba ukosefu wa usalama ni moja kati ya vyanzo vinavyo sababisha uhaba wa vyakula ndani ya jimbo hilo. Walimaji wengi wamelazimishwa kuondoka kwenye shamba zao...
GOMA: Wakamatwa na polisi ya Congo, raiya wa nchi za kigeni wanao ishi kimagendo mjini humo

GOMA: Wakamatwa na polisi ya Congo, raiya wa nchi za kigeni wanao ishi kimagendo mjini humo

Breaking News
Alahamisi tarehe 23 mei 2024, meya wa mji wa GOMA mkokoani Kivu kaskazini, aliwaonyesha mbele vyombo vya habari , takrebani raiya kumi wa nchi za kigeni , wanao ishi mjini humo bila vitambulisho vya kuwaruhusu kuishi inchini DRC. Kwa muujibu wa kamisa mkuu KAPEND KAMAND Faustin, kiongozi wa mji wa GOMA, watu Hao walikamatwa na vyombo vya usalama, usiku wa juma tano mei 22 mwaka wa 2024,wakati wa Doria waliyokuwa wakiendesha askari polisi na jeshi la Congo kwa pamoja, katika operesheni " Safisha mji wa GOMA" na ilikuwa ndani ya kata Lac Vert, Ndosho pia kata Kyeshero.   Walio kamatwa walikutwa na hatia ya kuishi kimagendo kwenye ardhi ya congo, na huwa wanasharikiana na adui wanao dhoofisha usalama wa raiya mjini Goma, kazi yao nikuwatolea taarifa kama wajasusi wa adui, Pia wana...