RADIO BEROYA FM

lundi, février 9News That Matters
Shadow

Étiquette : Actualités

Vijana wa Babila Bakwanza Wapongeza Operesheni ya FARDC-UPDF Dhidi ya Waasi wa ADF

Vijana wa Babila Bakwanza Wapongeza Operesheni ya FARDC-UPDF Dhidi ya Waasi wa ADF

Actualités
Baraza la Vijana la Kijiji cha Babila Bakwanza, kilichoko katika wilaya ya Mambasa mkoani Ituri, limeeleza pongezi zake kwa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kwa kuanzisha operesheni ya pamoja kati ya jeshi la FARDC na lile la UPDF, chini ya mpango wa Usujjaa. Hatua hii inalenga kuimarisha usalama katika eneo ambalo kwa muda mrefu limekumbwa na machafuko ya waasi wa ADF-NALU. Operesheni hiyo, iliyoanza rasmi tarehe 16 Oktoba 2025, inajumuisha doria za kijeshi na misako ya kina ndani ya msitu wa Babila Bakwanza. Vikosi vya jeshi la Kongo (FARDC) na Uganda (UPDF) vimeungana kwa lengo la kuwafuatilia waasi na kurejesha mamlaka ya dola katika eneo hilo. Kupitia tamko rasmi lililosainiwa tarehe 03 Novemba, TUAYE TUMBUWAZI ADOLPHE, ambaye ni mwenyekiti wa Baraza la Vijana la ene...
Nord-Kivu : l’ECiDé exhorte Kinshasa à renforcer la sécurité à Kasindi après les attaques contre l’armée ougandaise

Nord-Kivu : l’ECiDé exhorte Kinshasa à renforcer la sécurité à Kasindi après les attaques contre l’armée ougandaise

Actualités, Politique
L'alarme a été sonnée ce mardi 04 novembre 2025 par le coordonateur de cette formation politique de l'Opposition, chère à Martin Fayulu Madidi. A en croire Monsieur Mbusa Sivyaghendera Nicho Lucho, même si la situation sécuritaire reste calme à Kasindi-Lubiriha après cette attaque, le renforcement de la vigilance doit être de mise. ‹‹Nous sommes restés calmes ici à Kasindi après ces dernières attaques en Ouganda contre les positions de l'Updf....mais, notre Gouvernement doit vraiment faire tout son mieux pour renforcer la sécurité››, a-t-il alerté. Ce cadre du parti Engagement pour la Citoyenneté et le Développement (ECiDé) en territoire de Beni rappelle également la nécessité pour les services de l'ordre de bien vouloir veiller sur les pistes supposées poreuses. Pour Nicho Lucho, au...